PICHA ZA MAFURIKO YALIYOTOKEA BUKOBA



Mafuriko yameikumba Bukoba mjini leo kuanzia majira ya saa mbili asubui kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwa kufunika  na kuzunguka baadhi ya nyumba zilizopo maeneo ya Nyakanyasi na Darajani Sokoni na sehemu nyinginezo. 



Chanzo cha habari kimeipa taarifa mkomesportnews kikisema kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha zaidi ya familia kupoteza mali zao.

LihatTutupKomentar