LIVERPOOL YASHINDWA KUTAMBA YALAZIMISHA SALE

Mshambuliaji Mbelgiji wa Chelsea, Eden Hazard akipasua katikati ya mabeki chipukizi wa Waingereza wa Liverpool, Joe Gomez na Trent Alexander-Arnold katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Chelsea ilitangulia kwa bao la Hazard dakika ya 25 akimalizia pasi ya Mateo Kovacic kabla ya Daniel Sturridge kuisawazishia Liverpool dakika ya 89 akimalizia pasi ya Xherdan Shaqiri

LihatTutupKomentar