HUYU HAPA ATABILI MECHI YA KESHO


Kuelekea Mechi ya watani wa Jadi kati ya Timu za Simba na Yanga inayotarajiwa kucheza kesho tarehe 30/9/2018 joto la mchezo huo linazidi kupanda.

Nafasi ya Makocha katika kuamua matokeo ya mchezo huo inaelezwa kuwa ni kubwa.Simba wao wakiwa na  pengo la kocha wao msaidizi Masudi Juma inaelezwa kuwa linaweza likawagharimu kupoteza mchezo huo.

Akihojiwa na Global Tv Mchambuzi wa mpira wa miguu mwenye umri mdogo kuliko wote Afrika mashariki na kati Kenedy  Heri ameeleza kuwa ''Masudi Juma ni Kipenzi cha Mashabiki wa Simba na Wachezaji kutokuwepo kwake kwenye mchezo huo kunaweza kukaigharimu Simba katika mchazo Huo''.

LihatTutupKomentar