SIMULIZI :MBONA HAJIONGEZI?   SEHEMU YA 02 na GASPER WA MASTORY

MBONA HAJIONGEZI?
  SEHEMU YA 02
na GASPER WA MASTORY
♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡

ILIPOISHIA "sasa jambo la kushangaza nkamuona brandon anatoa. SONGA NAYO
Anatoa kitu kwenye begi lake ambacho kilinishangaza sana"aliongea huku ukimya ukizidi kutawala..
"enheee sa si uendelee ikawaje?"akasema warda. "nyie nanyi mmekaka kimbeambea tu mnaona raha tu"akawasuta kidogo "we nawe unajikuta keki sa si uendelee" mmoja wa rafki zake angel alidakia "basi bhana baada ya kuutoa mkono kwenye begi si akatoa madaftari pale mimi nikiwa namshangaa tu.akaniambia
‘’unajua angel sijapendezewa na kitendo cha yule lecture kukufokea pale mbele ya darasa yani nmeudhika saaana na mimi naliona tatizo lako kama la kwangu sitafurahi wewe uhuzunike peke yako naona ni afadhali nihuzunike na wewe na tena kama ni kufurahi basi tufurahi wote " alisema brandon akinitazama machoni.akaendelea
"so naomba tusome vizuri lile eneo linalokusumbua
ili ukirudia ile assignment. ya yule lecture umfunge mdomo." daah hamuwezi kuamini sijawahi muona. mwanaume mwenye moyo kama ule tangia nimefika hapa chuoni nilijawa na furaha ya ajabu sikuwa na hiyana yoyote,basi tukaanza kusoma.alinifundisha vizuri hakuna mfano yani utulivu uliokuwepo na umakini mkubwa wa ufundishaji wake nilijikuta nikielewa kiasi kwamba sikuhitaji tena kusoma yani nilitamani hata ile assignment iletwe muda huo huo,baada ya hapo tulimalizia vinywaji vyetu na kabla hatujaanza kuteremka nilimuomba tupige selfie ya pamoja alitabasamu akanisogelea karibu zaidi na kuachia tabasamu pana huku mikono yake akiwa ameipitisha mabegani mwangu na mimi nikawa kwa mbele yake,nilionaje sijui yani hata sielewi bhana ila raha tu ndo nilikuwa nahisi mwenzenu baada ya hapo tukaanza kuteremka. kutoka kwenye lile jiwe.kiukweli kutokana na msaada ule nilijua tu baada ya hapo basi ataanza kunitongoza hasa kwa ukaribu ule aliouonesha wakati wa kupiga selfie lakini jambo la ajabu tulirudi njia nzima akiwa anaongea story nyingne kabisa mpaka tulivofika hapa chuoni basi nilimshukuru sana na kumuaga. kwa kumkumbatia naye alinikumbatia kisha tukaachana. ‘Mnajua nini sasa shosti zangu’’ ‘’enheeeeeeee’’ wote waliitikia midomo waiwa wameitanua kama kipimio cha njugu mawe ‘’sasa baada ya kuifanya assgnment ya yule lecture hamuwezi amini nilipasua vizuri yani nikapata. 9 ya 10 yani nilifurahi sana sasa breki yangu ya kwanza nikamtafta brandon nkamwonesha ile karatasi aisee na yeye akufurahi sana. nikamshukuru tena akasema niwe huru hata sikunyingine. ila hakuonekana kama kunachchote zaidi baada ya yeye kunisaidia.daah hapo ndo umekuwa mwanzo wangu wa kumpenda brandon sielewi kwanini ila vile anavyojali mimi ashaniteka ila tu hata nikienda hostelini kwake. yani ananikarimu sana kama huu mdoli alinipatia yeye mwenyewe lakini mpaka sasa sioni kama anahisia za mapenzi juu yangu. kwakweli sielewi mbona sasa hanitongozi?" alimaliza angel bada ya simulizi ndefu "mmh shosti mimi naona labda anakuchukulia friend tu" alisema mmoja wa wale wasichana waliokuwa kimya mda wote akimsikiliza kwa makini. "we nawe nae eti friend. hapana bhana mimi naamini anampenda ila anaogopa kumwambia"alisema warda "kwani wewe umeshampenda kiviile?"akauliza mwingine "yani sana..sijui hata kanipa nini ila sina ujanja najiona kabisa moyo wangu ushazama kwake" " dah mapenzi haya,fanya umtafte umweleze. tu ukweli"warda akajibu " jamani mimi mwenzenu naaibu sana sitaweza kwakweli. ngoja nisubiri tu labda atajiongeza mwenyewe siku moja" "we nawe kalaga baho,we endele kusubiri siku ukute wenzio washambeba" yule msichana mwingine akadakia. "sasa nifanyaje jamani?"
"hayo ndo maswali ya maana,we anza kumwonesha ishara zote za kumpenda hata ukiweza mtege uwezavyo nina uhakika. atajiongeza bhana" "duuuuuh sawa jamani nmewaelewa ntajaribu"

****************************** ****************

Katika chumba namba 35 ndicho kilikuwa chumba cha brandon katika hosteli zile mara mlango ukagongwa.alinyanyuka na kwenda kuufungua "ooh vanessa karibu sana" alisema brandon kwa furaha na kumkaribisha ndani "tena umekuja wakati sahihi yani. now nipo free tatizo. namba yako nlikuwa Sina". "ahsantee sana.haya nimekuja unielekeze bhana manake yule lecture leo kaleta kisanga tu mule darasani" alisema vanessa akiwa anaketi kwenye. kiti pembeni ya meza. Brandon alimfundisha vanessa vyema kwa umakini. na wakati huo wakiendelea kusoma vannesa alikuwa akimsikiliza vyema brandon lakini ghafla mawazo yakaanza kuhama. akanza kumtafakari kijana brandon vile alivyokuwa. mtanashati mwenye macho ya upole.aliifikiria sauti yake iliyokuwa ikitetema vyema na kunogesha hali ya hewa mule ndani kifua.chake kilichotanuka kiasi sio saaana. na mikono imara yenye misuli aliyoiangalia kwa jicho la wizi. hadi kufikia hapo vanessa alikiri moyoni mwake amevutiwa vilivyo na brandon. "we vanessa mbona haupo hapa"aliita brandon, vanessa aligutuka na kurudisha mawazo yake. "ooh sory...for that’ akajinyosha kidogo huku kiuno chae kama akikibinua pale kitini ‘’sawa tunaweza kuendelea" alijibu vanessa. na kuangalia pembeni baada ya kukuta brandon alikuwa akimu angalia. "basi ndo hivo.umeelewa vizuri kweli??"alidokeza brandon " yaas nimeelewa." "aah. subiri. naona wewe hujaniskiliza kabisaaaaa tulia hivyo hivyo."alimaliza na kunyanyuka kuelekea. kwenye kabati lake na kutoa pipi kijiti moja na biskuti kisha akaziweka mezani "naomba uwe unakula hii pipi ili tumalizie hapa palipobaki ili. mawazo yako yawe hapa....sawa ve money!"....aliongea na kutania kidogo "we brandon mimi nipo sawa .mbona"alijibu Vanessa akiwa na tabasamu pana likionesha dhahiri vile meno yake yaliyometameta nama yalivyopangika vyema .brandon alimsogelea. vanessa na kumshka begani akawa yupo karibu. naye akamsogelea sikioni taratibu,vanessa mapigo ya moyo yakaanza kumwelemea.......ITAENDELEA.....vanessa atapona kweli ha ha ha mi nipo......Nenda kwenye page yangu iitwayo simulizi tamu za gasper kwa stori zaidi.
whtsaap. 0656322828

LihatTutupKomentar