MWINA KADUGUDA ATOLEWA OUT



Mwanachama Mwina Kaduguda ambaye ni mgombea wa nafasi ya Ujumbe Klabu ya Simba ametolewa nje ya ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu JK Nyerere ambapo kunafanyika mkutano mkuu hivi sasa. 

Kaduguda ameondolewa kufuatia kupinga kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura zaidi ya 300. 

Wagombea wengine nao wametoka nje, wakiongozwa na Swedy Mkwabi wakitaka kuzungumza pembeni au nje ya ukumbi. 

LihatTutupKomentar