TAIFA STARS WAMEFANYA MAZIEZI LEO CAPE VERDE

Timu ya Taifa ya Tanzania @Taifastars_ imefanya mazoezi leo kwenye Uwanja wa Taifa wa Cape Verde kujiandaa na mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa mwakani,mechi ya kwanza itachezwa Ijumaa Oktoba 12,2018 na mchezo wa marudiano Oktoba 16,2018 Uwanja wa Taifa. #Afcon2019ZamuYetu

LihatTutupKomentar