WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE AGEUKA MBOGO, BMT


Waziri wa Michezo, Harrison Mwakyembe amewashukia viongozi wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kwa kufumbia macho uvunjifu wa sheria na kanuni za soka nchini ikiwemo kuruhusu kuchezeshwa kwa wachezaji walioshiriki Ligi Kuu kwenye michuano ya Ligi daraja la kwanza

LihatTutupKomentar