RATIBA LIGI KUU LEO

Ligi kuu  inaendelea kutimua vumbi katika viwanja tofauti, leo timu nane zitashuka uwanjani na ratiba ni kama ifuatavyo:-

Stand V Mtibwa Sugar, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.

Mbeya V Mwadui, Sokoine, Mbeya.

Ndanda V Biashara United, Nangwanda, Mtwara.

KMC V Yanga, Taifa, Dar es Salaam.

LihatTutupKomentar