ALIE ONDOSHWA KWENYE SOKA NA MALINZI ""ATEULIWA NA MAGUFULI"



Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akichukua nafasi ya Susan Kolimba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Aidha, Magufuli amemteua Dkt Faraji Mnyepe kuwa Katibu Mkuu Wizara hiyo ya Mambo ya Nje akichukua nafasi ya Prof Adolf Mkenda.


LihatTutupKomentar