LEO MESSI AJIVUNIA KUPEWA CHEO BARCELONA

CATALONIA, Barcelona
STRAIKA wa Barcelona, Lionel Messi, amefurahishwa kuchaguliwa kuwa nahodha wa timu hiyo, akisema kwamba ni jambo la kujivunia katika  maisha yake ya soka klabuni hapo.

Messi aliyasema hayo juzi, mbele ya mashabiki wa timu hiyo, mara baada ya mchezo wao ambao waliondoka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Boca Juniors na kufanikiwa kutwaa Kombe la Joan Gamper na akasema kwamba ni bahati ya pekee kupewa nafasi ya unahodha katika timu hiyo na anafahamu ina maana kubwa kuvaa kitambaa hicho.

 

LihatTutupKomentar