#OFFICIAL
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester City Kelvin De Bruyne aliumia goti l mazoezini na inakadiliwa atakaa nje kwa Takribani wiki 10.
HIZI NI BAADHI YA MECHI ATAKAZOZIKOSA.
August 19
Manchester City Vs Huddersfield
August 25
Manchester City Vs Wolves
September 1
Manchester City Vs Newcastle
September 15
Manchester city Vs Fulham
September 22
Manchester city Vs Cardiff
September 29
Manchester city Vs Brighton