PREMIER LEAGUE waswahili husema biashara asubuhi jioni mahesabu lakini imekua tofauti kwa club ya Arsenal ambao leo wameshindwa tena kutamba katika dimba la Stamford Bridge inakua sasa mechi ya pili bila kupata ushindi
FULL TIME: Chelsea 3-2 Arsenal
Picha mbalimbali
Jinsi goli la 3 lilivyo fungwa