matokeo ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE hatimae Real Madrid yatangulia final baada ya kulazimisha sare akiwa uwanja wa nyumbani ambapo madrid matokeo yake yalikua ni wenyeji
Madrid 2-2 Baÿern na kufanya goal AG kua (4-3)
Hivyo Sasa Madrid anasubiri mshindi wa leo Kati ya
AS ROMA VS LIVERPOOL