KOCHA WA SIMBA LECHANTRE AFUNGUKA HATIMA YAKE

Lechantre azungumzia msimamo wa kubaki Simba kama dili la kufundisha Cameron litatiki
Hatimaye Kocha Mkuu wa timu ya Simba mfaransa Pierre Lechantre amefunguka kama Dili la kuifundisha Timu ya Taifa ya Cameron Litatiki ataendelea na Simba au Ataenda Cameron?

Majibu ya Pierre Lechantre Mso alifunguka Haya.

Nimekuwa na maelewao makubwa na viongozi wote wa Simba hasa Dewji na wamekuwa wakinisikiliza na kunipa ushirikiano kuliko sehemu nilizowahi kufanya kazi jambo ambalo nahisi nafanya kazi katika mazingira sahihi kabisa,” alisema.

LihatTutupKomentar