KENYA WATANGAZA KOCHA MPYA

Sébastien Migné achaguliwa kuwa Kocha Mpya Harambee Stars
Shirikisho la Soka nchini Kenya limemtangaza Mfaransa Sebastien Migne kama Kocha Mpya wa Timu ya Taifa ya Kenya “Harambee Stars”
Migne amesaini mkataba wa miaka 3 kuifundisha Timu hiyo ya Taifa ya Kenya ambao ni mabingwa wa CECAFA 2017. Migne kabla ya kuchaguliwa kama kocha Mpya wa Kenya alikuwa kocha wa timu ya Taifa ya Vijana ya Congo DRC  chini ya miaka 20,.



LihatTutupKomentar