Yanga yatangaza Neema Nyingine kutoka kwa Mdau mchana Huu
Klabu ya Yanga ya jijini Dar Es Salaam mchana huu ikifanya kikao na waandishi wa Habari makao makuu ya Klabu hiyo maeneo ya Jangwani Jijini Dar Es Salaam wametangaza neema.
Klabu ya Yanga ya jijini Dar Es Salaam mchana huu ikifanya kikao na waandishi wa Habari makao makuu ya Klabu hiyo maeneo ya Jangwani Jijini Dar Es Salaam wametangaza neema.
Yanga imetangaza kuwa kuna mdau amewapa Yanga eneo la Ekari 50 ndani ya Jiji la Dodoma, Taarifa ikitolewa na Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa.
Akiongelea Kuhusu matumizi ya Eneo hilo msomaji wa mmkomesportnews Mkwasaamesema eneo hilo wamepanga kujenga Hosteli na Academy ya Yanga