SIMBA YAONGEZA MAJESHI MOROGORO

Beki wa kati wa Simba, Juuko Murshid amewasili mjini Morogoro kujiunga na wenzake.
Simba ipo kambini mjini Morogoro kujiandaa na mchezo wake dhidi ya watani wake wa jadi, Yanga, mechi itakayopigwa Jumapili.
Juuko alirejea kwao Uganda kutokana na matatizo ya kifamilia, lakini jana alirejea jijini Dar es Salaam.
“Ndiyo Juuko amewasili leo asubuhi hapa kambini tayari kwa ajili ya kuungana na wenzake kuendelea na maandalizi,”


LihatTutupKomentar