ELIAS MAGULI NDO HABARI YA MJINI COSAFA.

Na Mwandishi wetu:





Michiuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika kusini,mchezo wa Leo uliyo zikutanisha Timu Kati ya Tanzania Dhidi ya Afrika kusuni jumapili (July 2,2017)


Tanzania Imetoka Na ushindi wa goli 1-2 katika mchezo huo,goli la stars likifungwa Na Elias Maguli Dakika ya 17 ya mchezo,pia Maguli ndo Ameibuka kuwa mchezaji Bora wa mchezo.



Tanzania ilikuwa kundi A ma timu za Mauritius,Angola na Malawi
Stars ilifanikiwa kuingia Nusu fainali kwa kufanikiwa kufuna Alama tano (5)

LihatTutupKomentar