STARS KUKIPIGA NA BAFANA BAFANA LEO (COSAFA).

Na Emmanuel Mkome.




Timu ya Taifa ya Tanzania (Stars) Leo Inapambana Na timu ya Taifa ya Afrika kusini (Bafana Bafana) kwenye hatua ya Nusu fainali ya kombe la (COSAFA) Inazo zishirikisha nchi za kusini Mwa Afrika.


Stars Inahitaji Ushindi kwenye mchezo wa Leo Ili iweze kusonga katika hatua ya Nusu fainali ya michuano hiyo.


Mchezo unatarajiwa kuchezwa saa (18:00) kwa masaa ya Afrika Mashariki.


Ikumbukwe kwamba Afrika kusini ndio waandaaji wa michuano hii ya COSAFA 2017,pia ndo mabingwa watetezi wa michuano hii.


Mkomesportsnews Itakuletea matoke ya mchezo huu Endelea kuwa nasi.
LihatTutupKomentar