Yanga Ndo Basi Tena Super Cup.

Tokeo la picha la yanga  spoti pesa super cup

Timu ya Yanga imeondole kwenye mic
huano ya super cup,kombe linalo dhaminiwa na kampuni ya kamali kutoka nchini Kenya (sportpesa),Yanga Ameondolewa kwa mikwaju ya penati na Fc Léopard toka Kenya 4-2,na Léopard kutinga hatua fainali ya sportpesa super cup 2017,fainali itachezwa jumapili hii.
LihatTutupKomentar