Yanga kumaliza kazi leo!

Tokeo la picha la yanga  spoti pesa super cup


Super cup ya sportpesa inaendelea leo uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam,yanga ikicheza na Fc Léopard ya kenya,yanga Hahitaji kushinda mechi ya leo hili ifuzu fainali ya michuano hiyo,Ikumbukwe kwamba yanga iliitoa Tusker ya kenya kwa changamoto za petati ya 4-2,mwanzoni mwa wiki hii,uku wapinzani Wao Simba wakitolewa na Nakuru kwa mikwaju ya penati 4-5,mshindi wa kombe hili Anatoka dola 30,000 sawa na na millioni 60 za kitanzania,mbali na hapo mshindi wa michuoni hii ya sportpesa super cup watacheza na timu inayo shiriki ligi ya England (Epl) Ambayo ni Everton,Yanga ndo timu pekee ya Tanzania iliyo bakia kwenye michuano hii ya super cup

LihatTutupKomentar