msimbazi yazidi kunonga mwanangu

 Tokeo la picha la john bocco
Timu ya simba inazidi kunonga tu kwa kuendelea kusajiri vifaa toka Azam fc,simba imemsajiri Aliyekuwa naodha wa Azam fc John Bocco kwa kadarasi ya miaka miwili klabuni hapo
Bocco amesajiliwa na msimbazi akiwa mchezaji huru baada ya mnataba Wake kumaliza Azam fc
mbali na Bocco Simba imewasajiri Aishi manula na kapombe wote toka Azam fc
kwa usajiri huu simba itakuwa iko vizuri kwa Idara zote mbli za ulinzi na Ushambuliaji.
LihatTutupKomentar