Ally Yanga Aacha simazi kubwa yanga

Na Emmanuel mkome


Aliye kuwa shabiki namba moja na mwenye mbwebwe za kila aina yake maarufu Kama Ally yanga AmefarkiDnialeo,baada ya gari waliyo kuwa wakisafiri kupata Ajari mpwapwa mkoani Dodoma,Ally hataendelea kukumbukwa sana kwa madoido yake Haliyo kuwa nayo ndani ya uwanja pindi timu yake ikiwa inacheza,Ally alianza kupata umaarufu Wake na kujulikana zaidi kuwa ndie shabiki namba moja,kwa vituko vyake vya kutengeneza kitambi bandia.

LihatTutupKomentar