Stars yatoa sale COSAFA dhidi ya Angola..




Timu ya taifa ya Tanzanaia imetoka sale tasa na timu ya taifa ya Angola katika mchezo wa pili wa kundi A.

Katika mchezo huo ulikua wa pili kwa timu zote mbili,umeendelea kuifanya Tanzania kuendelea kushikilia uskani wa kundi hilo huku ikiwa pointi sawa na Angola.
LihatTutupKomentar