yanga,simba poiti sawa Toto,Lyon na jkt ruvu zarudi ziliko toka

pazia la ligi kuu Tanzania bara (vpl) limeitisha leo.kwa yanga kutete ubingwa wake kwa kuchua kombe hilo mara tatu mfululizo,ikumbuke kwa yanga imechukua ubingwa wa vodacom msimu huu wa 2016/2017 kwa kuongoza kwa poiti 68,sawa na wapinzani wao simba ًwenye poiti 68 tofauti ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa,nafasi ya tatu ikienda kwa wanakulukumbi (kagera sugar),huku nafasi ya nne ikienda kwa waoka mikate Azam fc,ifahamike kwamba ushindi huu kwa yanga wamifikisha vikombe 27,toka kuanzisha kwake,timu zilizo shuka daraja msimu timu ya Toto,
LihatTutupKomentar