MAONI

Leo ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara (vpl) inamalizika msimu wa 2016/2017,tunahitaji kuona mpira ukicheza na siyo upangaji wa matokeo,shirikisho la mpira wa miguu (Tff) inatakiwa wawe makini Sana kwa mechi za Leo,na ikitokea timu yoyote imepanga matokeo Adhabu itolewa na siyo tena figisufigisu,namalizia kwa kutoa pongezi kwa wadau na wapenzi wote wa soka nchini.
LihatTutupKomentar