Yanga yazidi kwenda juu zaidi




                                             Yanga imebahatika kupata Alama tatu leo mchezo wake na mbeya city,yanga imefunga magoli 2-1 magoli ya yanga yakifungwa na simon msuva dakika ya 7 ambae pia akishindwa kuendelea na mchezo kwa kuumia, na goli la pili la yanga likipachikwa na chirwa dakika ya 64 ya mchezo huo,
goli la mbeya city likifungwa na Haruna shamte dakika ya 57ya mchezo kipindi cha pili kipindi,kwa matokeo hayo yanga Amekaa kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara Kwa Alama 65,Alama hizo ni sawa na wapinzani wao simba ambao pia wana Alama 65,tofauti ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungua,uku yanga ukimaliza mechi mbali kati ya Toto Africa na mbao fc zote za mwanza
LihatTutupKomentar