Yanga ni sikio la kufa

Timu ya yanga aliondoa mwanzoni mwa wiki hii kuelekea nchini Algeria kucheza mchezo wao wamarudiano kumbe la ushirikiano barani Afrika (CAF),Ikumbukwe kwamba yanga ulienda Algeria ikiwa na matengemeo ya kufanya vizuri,yanga ilikuwa Ina mtaji wa goli moja iliyo pata nyumbani wiki uliyo pita mchezo uliyo chezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam,yanga wamepoteza Kwa 4-1
MC Alger ikifunga magoli yake kupitia Kwa Aouadl dakika ya 14 kipindi cha kwanza,na Dakika ya 39 kupitia Kwa Derradja,hadi wanaenda mapumziko yanga ilikuwa nyuma Kwa magoli mawili bila,kipindi cha kwanza kilianza lakini bado yanga ilikuwa udhaifu mbele ya MC Alger,
Algeria nilifanya mashambulizi na dakika ya 66 kunitia kwa Zerdab akaipatia timu yake goli la tatu, yanga ikapoteza matumaini ya kusonga mbele,Alger nilifanya mashambulizi tena langoni mwa timu ya Yanga dakika ya 90+ na tufanikiwa kupata goli la nne kupitia Kwa Aouadj Ambe ndo akaifungia goli la kwanza,hadi mpira unamalizika Kwa Alger kupata ushindi mkubwa wa magoli 4-1.
LihatTutupKomentar