Simba Kwa Toto Africa hawana lolote

timu ya simba Leo imecheza na timu ya Toto Africa ya jijini mwanza na kushindwa kupata  point tatu muhimu,mchezo uliyo chezwa katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza na kutoka sare pacha (0-0) mchezo ulikuwa mzuri na wakuvutia Kwa timu zote mbili,Ikumbukwe kwamba simba ilitoka kuchukua point tatu katika uwanja huo wa ccm kirumba dhidi ya mbao FC,katika mchezo wa Leo simba ilitengeneza nafasi nzuri lakini ikashindwa kuzitumia vizuri hadi kipindi cha Kwanza kinaisha na hakuna timu ilitoka goli la mwenzake,kindi cha pili kilianza Kwa timu zote kuonyesha kuwa na uchu wa kupata goli hadi mpira unamalizika na hakuna timu iliyo ona lang.
go la mwingine     Picha Kwa hisani ya pajo nyamsuka (RFA)
LihatTutupKomentar