super cup ya sportpesa hii hapa

Tokeo la picha la yanga  spoti pesa super cup
Tarehe 5/6/2017
singida united vs Fc Leopand
Yanga. vs Tusker fc








Tarehe 6/6/2017
Simba vs Nakuru All star
Jang'ombe boys vs Gor mahia






Michuano hii inaziusisha timu kutoka Tanzania na kenya,na mshindi wa kwanza upata Dola 30,000 na wapili dola 10,000.



LihatTutupKomentar