taifa stars na kenya hakuna mbabe

Timu ya taifa ya Tanzania taifa stars umetoka sare ya goli 1 kwa 1 na kenya mchezo w wa kirafiki wa kimataifa mchezo uliyo fanyika leo,taifa stars imecheza mchezo huo ili kutafuta nguvu,ikiwa imebakiza wiki moja kucheza na misri jumamosi ijayo,goli la stars limefungwa na Elias maguli,uku la kenya likifungwa na victory wanyama kwa njia ya penati,hivyo stars italejea nchini kesho kuendelea na kambi ili kupambana na misri (mafarao),mchezo utakao fanyika jijini Dar es salaam jumamosi ijayo katika majira ya saa 10:00  jioni kwa saa za afrika mashariki,katika mchezo huo stars inahitaji ushindi ili iwe katika mazingira mazuri
LihatTutupKomentar