taifa stars iko kamili gado

Timu ya taifa ya Tanzania taifa stars,imekamilisha maandalizi yake,ya kupambanana na misri weekend hii,mchezo utakao fany ika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam,taifa stars imeingia kambini ikitokea nchini kenya iliko kuwa imeenda kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa,stars ilitoka sare ya goli 1-1,kila la kheri taifa stars kwa mechi  yenu na misri
LihatTutupKomentar