dakika 120 zaipatia real madrid ubingwa

Madri imeibuka na ushindi wa pe
nati 4 dhidi ya wapizani wao atletico madrid katika mchezo wa fainali ligi ya mabingwa barani ulaya maarufu kama UEFA,mchezo ambao umezikutanisha timu zote toka Spain,real Madrid ndo ili ya kwanza kupata goli kupitia kwa mlinzi ramos,nakuifanya atretico de Madrid kuchenza kwa kushambuli,kipindi cha kwanza kilimalizika ikiwa Madrid inaongoza kwa bao moja,kipindi cha pili  mchezo ulianza  ikiwa timu ya atretico  ikionekana inahitaji kusawazisha goli,real Madrid ilicheza kwa kulinda goli lao watoto wa mjini wanasema kwa kupaki gali,dakika ya 89 ya mchezo  kipindi cha pili atretico Madrid ikasawazisha goli,na kufanya mchezo kumalizika kwa goli 1-1,hivyo nakufanya kuongeza dakika 30,dakika 30,Nazi ziliisha bila kufungana,na kufanya wpige penati,katika mikwaju ya penati atretico Madrid ilionekana kukwama kwa penati4 kwa 5,na k kufanya real Madrid kufikisha mataji 11 ya ligi ya mabingwa (UEFA),uku atretico Madrid ikionena kukoswa ubingwa huo,ikiwa imesha cheza fainali hizo mara mbili,uku mchezaji nyota wa real Madrid Christian Ronald akiwa na magoli 16
LihatTutupKomentar