mabadiliko stand united ya shinyanga

Club ya stand united ya shinyanga,imefanya mabadiliko kutoka club ya Uanachama na kuwa club ya company,kwa sass (stand united football club co Ltd,mabadiliko,hayo yametolewa jana na Uongozi wa club Hiyo
LihatTutupKomentar