simba yashikwa koo taifa

Simba imeshindwa kupata point 3 muhimu mbele ya wana lamba lamba (Azam fc) baada ya kutoka sare,ya bila kufungana,timu zote zilikuwa zikishambuliana kwa zamu,hivyo yanga itaendelea kubaki keleleni mwa ligi Hiyo,kwa kuwa na point 65.mbele ya wapidhani wao simba na Azam
LihatTutupKomentar