NGASSA MPAKA SASA HALI SI SHWARI NA MABOSI WAKE

Kauli tata ya mchezaji wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram.

Inaelezwa kuwa mchezaji huyo hajalipwa fedha zake za usajili ambazo inatajwa kuwa ni milioni 15 za kitanzania.

LihatTutupKomentar