FT' (AET) Tanzania 1-1 Burundi Agg 2-2 P(3-0)
29' Samatta 45+1' Fiston
-Tanzania Imefuzu hatua ya Makundi kwa Penati 3-0 baada ya matokeo kwa jumla kuwa mbili kwa mbili (2-2). Waliofunga Penati kwa Tanzania ni Erasto Nyoni, Himid Mao na Gadiel Michael huku Burundi wakikosa penati zote 3.
#WCQ2022