MATOKEO UEFA CHAMPION LEAGUE

MECHI za UEFA Champions League zimeendelea tena usiku wa Septemba 18 2019 kwa michezo kadhaa kuchezwa.
Miongoni mwa matokeo ni Real Madrid kubugizwa goli 3-0 na PSG na kuifanya timu hiyo hasa kocha wake Zidane(Zizoo) kuwa na wakati mgumu klabuni hapo.
Juventus ya Italia ikiwa na staa wake Cristiano Ronaldo imetoshana nguvu na Atletico Madrid kwa sare ya 2-2 katika uwanja wa Wanda Metropolitan nchini Hispania.
Matokeo kamili haya hapa;
LihatTutupKomentar