Anthony Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11 katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa Traktor Sport Palace, Chelyabinsk nchini Urusi. Kovalev alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya 11 na kufanikiwa kutetea taji lake la WBO uzito wa Light Heavy