ROONEY ABEBESHWA ZIGO KUHUSU KADI NYEKUNDU

Mshambuliaji Wayne Rooney akiondoka uwanjani baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 24 timu yake, D.C. United ikichapwa 2-1 na New York Red Bulls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani Uwanja wa Audi Field mjini Washington DC hiyo ikiwa kadi ya pili nyekundu kwake tangu ahamie Marekani

LihatTutupKomentar