Chipukizi wa England, Mason Mount akiifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya saba baada ya kiungo mwenzake, Mnigeria Wilfred Ndidi wa Leicester City kuanguka timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kusawazisha la Leicester City limefungwa na Ndidi dakika ya 67