Aliyekuwa beki wa Yanga SC, Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa ameshika jezi ya klabu ya LA Galaxy Uwanja wa Dignity Health Sports Park Carson mjini California baada ya kuwasili kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo inayocheza Ligi Kuu ya Marekani
Akisajiliwa na timu hiyo, Shaibu ataungana na mshambuliaji wa zamani wa Barcelona na AC Milan, Inter Milan, Zlatan Ibrahimovic