EPL l

EPL inaanza leo usiku. Huwa ni kipindi kimoja cha miezi tisa ambacho huwa ni kitamu. Ni kipindi ambacho ulimwengu huwa upo bize kutazama ligi ya malkia. Ligi zote pia ni nzuri lakini EPL ni tamu zaidi. Nahisi waingereza wamefanikiwa kutangaza ligi yao lakini kuna sehemu wanaanza kufeli. Inakuwaje timu kama Man U au Chelsea zinaanza msimu mpya zikiwa hazina uhakika na safu zao za ushambuliaji?. Man U wana Martial na Rashford na Chelsea wana Giroud na Higuain. Hawa ni aina ya washambuliaji ambao hawawezi kufunga magoli 25 kwenda juu ndani ya msimu mmoja. Waingereza waache ubahili waingie sokoni wasajili.
LihatTutupKomentar