KWA sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
Hii hapa ratiba ya mechi za kirafiki
Julai 23
Simba v Orbret TVET inamilikiwa na chuo ya ipo kilichopo Afrika Kusini
Julai 24
Simba v Platinum ya Afrika Kusini
Julai 27
Simba v Township Rollers ya Zimbabwe
Julai 30
Simba v Orlando Pirates ya Afrika Kusini