NDAYIRAGIJE AFUNGUKA KILICHO SABABISHA WASHINDWE KUMFUNGA YANGA


Kocha Mkuu wa KMC FC, Ettiene Ndayiragije, amefunguka na kueleza sababu zilizopelekea kushindwa kuifunga Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana Jumapili.

Katika mechi hiyo, KMC ilikubali kichapo cha mabao 2-1 na kuzidi kujiweka kileleni ikifikisha alama 67.

LihatTutupKomentar