CHELSEA YASHINDWA KUTAMBA DARAJANI YABANWA MBAVU

Mshambuliaji Mbelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei kufuatia Raul Jimenez kuanza kuifungia Wolves dakika ya 56 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 

LihatTutupKomentar