MANCHESTER CITY YAPIGA MTU 7 ,JUVENTUS YAPINDUA MEZA

Timu ya Juventus imepindua matokeo kibabe kwa kuitandika Atletico de Madrid kwa jumla ya mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa huko Italy.

Mabao pekee ya Juventus yamewekwa kimiani na Cristiano Ronaldo.



Wakati huohuo Manchester City nayo imecharaza Schalke 04 ya Ujerumani kwa maba0 7-0


LihatTutupKomentar