AS ROMA WAMFUNGISHIA MIKOBA KOCHA WAO

As Roma Wampiga chini Kocha wao

Siku moja baada ya Kufurushwa nje ya Michuano ya UEFA Champions league na Timu ya Fc Porto ya Ureno timu ya As Roma Imefanya maamuzi ya kumtimua kocha wao.

As Roma imemtimua kocha Eusebio Di Franceso baada ya kufurushwa nje ya UEFA, Hata hivyo zipo penyenye za chini kwa chini kuwakocha aliyetoka kufukuzwa Fulham Claudio Ranieri kuwa huenda akamrithi Franceso.

LihatTutupKomentar