ASHLEY YOUNG ATOA TAMKO HILI


NAHODHA wa Manchester United, Ashley Young amesema meneja Ole Gunnar Solskjaer amefanikiwa kuwamudu wachezaji hasa eneo la kubadilishia nguo wakati wa mechi.

'Young aesema "Kwa sasa tunafundishwa vizuri na wachezaji wanafuraha hasa muda ule tunapokuwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, ujio wa Gunnar (December 19/2018) ni kama kurejea kwa Sir Alex Ferguson.

"Gunnar anajua vizuri namna ya kucheza na wachezaji wake hii inatokana na kuitumikia timu hii, anafanya mambo mengi ambayo yanatusaudia kupata ushindi tukiwa mazoezini kama ambavyo alikuw akifanya Sir Alex," amesema

LihatTutupKomentar