LUKAKU SASA KUKIPIGA NEWCASTLE UNTD

Klabu ya Newcastle United imekubali kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya Lazio Jordan Lukaku kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.

Lukaku ambaye kaka yake Romelu Lukaku anayekipiga Manchester United, atakua mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Rafa Benitez katika dirisha hili la usajili wa Januari.

LihatTutupKomentar